mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 425
- 248
Baadhi ya mawakala wa mpesa wamesitisha kutoa huduma kwa wateja kutoka na hasara kubwa waliyoipata toka juzi .
kwa upande wa mpesa mawakala wake akimuwekea mteja hela haiyonyeshi salio lilobaki kwenye simu ya wakala. Pia mteja akitoa hela haiyonyeshi kuwa salio la mpesa limeongezeka.
Kwa upande wa maxmalipo ukiweka hela kwa kupitia mpesa inakula kwako wakati ukiweka hela unaingiza till yako ila wakati wa kuthibitisha inatokea till nyingine kwa hiyo hela haingii kwako.
Kutokana na hali hiyo wateja kuwekewaa hela mara mbili baadhi ya wateja kulalamika na kugombana na mawakala hivyo basi kila mmoja anapaswa kuwa mwangalifu kwenye matumizi ya mitandao hasa kwa upande wa mpesa na maxmalipo.