Kuweni Macho Kwa Matapeli Hawa

Kuweni Macho Kwa Matapeli Hawa

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Hii kitu imenitokea ktk mitandao ya kijamii kama we ni mwanamke unatumiwa msg na mwanaume na kama ww ni male unatumiwa msg na fimale.
Hii imenikuta
Unakuta umetumiwa E-mail na f / M anakutaka kimapenzi, zen anakuelezea background yake yote, kua alifiwa na wazazi wake wote na ndugu zake wanataka mali iliyoachwa na baba yake Dr. flani ambazo ni $25000.5 ziko bank, anakutumia detail za bank zote mpaka namba za cm. hapo kumbuka anakuambia alikimbia akakimbilia Senegal ktk Camp ya Dakawa. na anataka pesa iliyopo kule ahamishe ije kwako ili mje kula bata wote. anakupa namba ya padri mnakua mnawasiliana. inshu inakuja kwenye Avidavit, yeye anakua hana pesa ypo camp na haruhucwi kutoka, so unatakiwa ww utume $300 ili wakili agonge muhuli pesa ihamishwe. ukituma tu imekula kwako
 
dah! walita kunitia changa la macho 2012, nilikua cjui. nilipo ambiwa nitume pesa kutumia Westen Union nikajua Eeeeh! nimeingizwa cha kike
 
amini usiamini wa kike anajiita karvin romeo alijaribu kwangu nikamjibu sina ulafi wa kile ambacho sikukitolea jasho
 
wapo bado tena cjui e-mail zetu hua wazitolea wapi. tena wanajifanya watu wa mungu sana, kumbe waongo na wez
 
Kuna mmoja anaitwa Esther Tanba, yupo refugee's camp Dakar Sènègal alitaka amuingize mjini jamaa yangu.
 
hao, hao, na cjui kwa nini wanapenda kutumia inch hyo na camp hiyo. bac hao ni wzi tu. ukibugi imekula kwako
 
yupo mwingine, eti anadai ni mama mtu mzima, ana pesa nyingi sana na amelazwa hospitali, siku zake za kuishi zimeisha, ivo anataka akutumie izo pesa we ukatoe kwenye vituo vya watoto yatima vya Africa, ishu itakuja kua utume ela ya wakili coz ye hawez kumove, baada ya muhuli pesa zitaamishwa kwako, cha ajabu she is very sick but anatype page nzima tena bila hata kukosea ye mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom