tajiri2018
Member
- Aug 4, 2017
- 13
- 5
Hivi mtu ukiwa unaweza mapenzi kila mda kila siku tatizo ni nini na hli tatizo limenianza sina mda mrefu sijui shida ni nini, naombeni ushauri wenu na pia kama kuna mtu anaelewa dawa yake pia anaweza kunisaidia.
Ni barehe tu hiyo kiongozi. Punde yataisha. Kwa sasa jiepushe na punyeto, itakuongezea mawazo ya mapenzi.Hivi mtu ukiwa unaweza mapenzi kila mda kila siku ttz ni nn na hli tatizo limenianza sina mda mrefu sijui shida ni nini naombeni ushauri wen na pia Kama kuna mtu anaelewa dawa yake pia anaweza kunisaidia![]()
Poa mkuu. Usijali uko kwenye mwanzo wa balehe, na kawaida huwa hivyo. Ukianza majukumu yataisha.
Una umri gani kwanzaKweli mkuu maan.inaniumiza xnaa akili
miaka 24 ni mingi sana kwa mtu kuwa na tatizo kama lako. Sasa itakubidi uoe kama husomi. Kuoa kutasaidia kuondoa tatizo lako.
Tafuta bint wa kupotezea muda baadae awe mke!!!


pole mkuu..tafuta wife tu au fanya kazi nyingine hasa ngumu isikufikirishe mapenzi




poapoaAsante kwa ushauri bro![]()