Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,929
Hakujua kuwa ni msaada wenye masharti. Sasa baada ya nabii kuonyesha sura yake halisi kwa Munisi kwamba huo msaada sio wa hivi hivi tu, anapaswa arudi kwa nabii kumshukuru nabii mkuu.Mt Fransisko wa Asis alifundisha kuwa ni heri zaidi kutoa kuliko kupokea!
JK II aliwahi kisema: ukila vya watu nawe kubali kuliwa walau kidogo.
Najiuliza ilikuaje Mch Munisi akakubali kupokea gari licha ya kuwa anayo magari lakini hataki kutimiza masharti ya msaada huo?
Fuatilia pia issue ya Askofu mstaafu Koda aliyekuwa Askofu wa SameHakujua kuwa ni msaada wenye masharti. Sasa baada ya nabii kuonyesha sura yake halisi kwa Munisi kwamba huo msaada sio wa hivi hivi tu, anapaswa arudi kwa nabii kumshukuru nabii mkuu.
Hapo ndipo alipogoma, binafsi namuunga mkono, arudishe tu huo msaada wa masharti.
Nitaipata wapi? Nitumie link kama unayoFuatilia pia issue ya Askofu mstaafu Koda
Hii ni kweli kabisa, wachungaji wa siku hizi hawajui kulisha kondooSasa kama watu hawafundishwi kumjua roho mtakatifu na nguvu zake makanisani mwao ni rahisi kutekwa na manabii feki. Watandanganyika sana mpaka akili ziwakae sawa. Wachungaji wao ndio chanzo cha waumini kuzurura hovyo kutafuta malisho bora
Japo kuna wahanga wanaume pia, Ila wanawake ni wengi zaidi na ndio wateja wakubwa wa chupi, maji, mafuta, vitambaa na vitu vingine viuzwavyo na manabii.Manabii ni wapigaji sana na wahanga ni WA awake.
✔️Za kuambiwa changanya na za kwako...
Yesu hakuahidi kututumia manabii kwa mwongozo wa maisha. Yesu aliahidi kututumia Roho Mtakatifu ili atuongoze (Yohana 14:16-18).
Chini ya Agano la Kale, Mungu alizungumza zaidi kupitia manabii kwa sababu Roho wa Mungu alikuwa ndani yao. Katika kipindi kipya cha neema, Roho Mtakatifu yuko ndani ya kila aliyemwamini Yesu Kristo.
Katika historia ya kanisa, nabii yeyote wa kweli anaelekeza watu kwa Yesu. Hakuna mtu wa kweli wa Mungu anayeelekeza watu kwake. Manabii wa kweli wanataka kila mtu asitawishe uhusiano wa kibinafsi na Yesu.
Imeandikwa "Kwa maana kuna Mungu mmoja na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu" 1 Tim 2:5.
Ninaamini katika kuomba pamoja na kuombeana. Lakini mtu yeyote anayekuambia kwamba lazima akuombee ili Mungu akujibu maombi yako ni nabii wa uongo. Manabii wa uwongo huunda ugonjwa wa utegemezi.
Uwe makini View attachment 2506871
Mama D Umeua watu kwa hii nyundo ✔️🙏YEREMIA 17:5
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA."
Mama D Umeua watu kwa hii nyundo ✔️🙏
Mama D Umeua watu kwa hii nyundo ✔️🙏