K kenlick00 Member Joined Dec 29, 2016 Posts 45 Reaction score 5 Sep 2, 2017 #1 Kuna m2 mwenye link au app ambayo unaeza watch different channels za kibongo pamoja na azam tv kwa free?msaada tafadhal
Kuna m2 mwenye link au app ambayo unaeza watch different channels za kibongo pamoja na azam tv kwa free?msaada tafadhal
Digo zee JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 661 Reaction score 1,348 Sep 2, 2017 #2 Download Azam TV app play store... Ina channels za Azam 1, Azam 2, Azam sports HD, Azam sports HD 2,ZBC, nk Sent using Jamii Forums mobile app
Download Azam TV app play store... Ina channels za Azam 1, Azam 2, Azam sports HD, Azam sports HD 2,ZBC, nk Sent using Jamii Forums mobile app
K kenlick00 Member Joined Dec 29, 2016 Posts 45 Reaction score 5 Sep 2, 2017 Thread starter #3 Nzory Mussa said: Download Azam TV app play store... Ina channels za Azam 1, Azam 2, Azam sports HD, Azam sports HD 2,ZBC, nk Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... N ya free au unalipia? Sent using Jamii Forums mobile app
Nzory Mussa said: Download Azam TV app play store... Ina channels za Azam 1, Azam 2, Azam sports HD, Azam sports HD 2,ZBC, nk Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... N ya free au unalipia? Sent using Jamii Forums mobile app
ze kokuyo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 7,476 Reaction score 9,654 Sep 2, 2017 #4 Mwenye link ya kuweza kuangalia EATV msaada tafadhali
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,565 Sep 2, 2017 #5 ze kokuyo said: Mwenye link ya kuweza kuangalia EATV msaada tafadhali Click to expand... ITV pia wana app yao playstore umeicheki?
ze kokuyo said: Mwenye link ya kuweza kuangalia EATV msaada tafadhali Click to expand... ITV pia wana app yao playstore umeicheki?
I Intora Member Joined Dec 30, 2013 Posts 6 Reaction score 3 Sep 3, 2017 #6 Application hii inakuwezesha kutazama Tv moja kwa moja kwenye Simu yako, Bonyeza link hii kudownload. http://bit.ly/2n5MhHo Sent using Jamii Forums mobile app
Application hii inakuwezesha kutazama Tv moja kwa moja kwenye Simu yako, Bonyeza link hii kudownload. http://bit.ly/2n5MhHo Sent using Jamii Forums mobile app
ze kokuyo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 7,476 Reaction score 9,654 Sep 3, 2017 #7 Chief-Mkwawa said: ITV pia wana app yao playstore umeicheki? Click to expand... Yah...ya ITV naijua, nahitaji EATV
Chief-Mkwawa said: ITV pia wana app yao playstore umeicheki? Click to expand... Yah...ya ITV naijua, nahitaji EATV
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,079 Reaction score 43,565 Sep 3, 2017 #8 ze kokuyo said: Yah...ya ITV naijua, nahitaji EATV Click to expand... my mistake nilijua app ya itv ina chanell 3 za itv, capital na eatv kumbe ni mbili tu itv na capital.
ze kokuyo said: Yah...ya ITV naijua, nahitaji EATV Click to expand... my mistake nilijua app ya itv ina chanell 3 za itv, capital na eatv kumbe ni mbili tu itv na capital.