kuwashwa na maumivu wakati wa haja kubwa na baada

E52

Member
Oct 31, 2010
81
14
kuna jamaa yangu anasumbuliwa nahilo tatizo, na hana uvimbe wowote kwa nje,,,ipi dawa natural kwa hiyo kitu ?
 
posibly ana minyoo aina ya Enterobius vermicularis au kwa jina lingine pin worm ambao hutaga mayai na huteremka kwenye maeneo ya haja kubwa wakati wa usiku na kusababisha muwasho wa aibu, unapojikuna unayahamisha hayo mayai kutoka hapo na kuyatawanya nje na kusababisha muendelezo wa maisha ya hao minyoo...


tiba: dawa ya minyoo kama albendazole (dozi kamili) au mebendazole itasaidia
ushauri wangu: aende kupata vipimo hospitali na ushauri wa daktari kabla ya kuanza kutumia dawa
 
Back
Top Bottom