kuwajibika mawaziri Vs unafiki wa wanasiasa!

mabomu

Member
Feb 17, 2011
43
7
Zimekuwepo shinikizo kutoka kwa wabunge za mawaziri kujiuzuru/kuwajibika kufuatia mabomu kulipuka. Lakini je hao wanasiasa wanajibika vp katika kutoa mchango wao? Mfano kati ya milioni 90 walizolipwa wako tayari kutoa milioni 1 kuchangia maafa? Wako wabunge zaidi ya 200, na hivyo mchango wao ni kama milioni 200. Sio haba. Wako tayari?
 
Back
Top Bottom