Mkuu;
Sintakaa niamini kuwa roho hiyo ilokuingia ka ni roho njema. Dah! Nkasoma mahali flan katika biblia kuwa; roho mbaya kutoka kwa Bwana ikamwingia Sauli... na leo nimeiona ikikuingia.
Usimtukane asiyekuweko, mtukane aliyeandika hayo maneno wala sio Allah Subbuhhanau Wataala. Jamani, tuwe na mipaka katika semi zetu
Mkuu;
Sintakaa niamini kuwa roho hiyo ilokuingia ka ni roho njema. Dah! Nkasoma mahali flan katika biblia kuwa; roho mbaya kutoka kwa Bwana ikamwingia Sauli... na leo nimeiona ikikuingia.
Usimtukane asiyekuweko, mtukane aliyeandika hayo maneno wala sio Allah Subbuhhanau Wataala. Jamani, tuwe na mipaka katika semi zetu
Sijamtukana allah wala mtu yeyote. Naomba unionyeshe wapi nimemtukana asiyekuwepo. Nakubali kusikiliza. Niandikie.
Tuseme ndiyo kwa mateso kama haya kwa kanisa?
Tuendelee kumsifia allah kwa mauji kama haya ya Wakristo?
Kukemea ushetwani wa waislam wanaoufanya kwa Wakristo kwa sababu ya kumtetea allha ni roho mbaya?
Hawa wote wanaopinga mateso y akanisa yanayowafnywa na waislam wana roho mbaya?
View attachment 467026
Kwa hiyo unataka tusifie huu ushetani ili tuwe na roho nzuri?
You must be kidding!
Wewe waunge mkono. Lakini mimi na nyumba yangu, tutamuunga mkono Mungu Jehovah, Yahweh na Kanisa lake takatifu! Sitaungana na mashetani mapinga Christo.
Hee yamekuwa hayo tenaKuwaiti nchi ya kiislam kwani? 😀 msingi wa nchi ya kiislam inaongozwa na Khalifa, na katika dunia haiwezekani kuwa na makhalifa wawili wakati mmoja. Sasa sifahamu watu wanaposema kuwait ni nchi ya kiislam.
Kwahiyo na ile kusema marekani ni ya kikristo was it rightYou just need to use a little bit of brain. Uchi utabaki wewe kuongea usichokijua. Unaijua nchi ya kiislamu wewe? yaani nyie mnanishangaza kweli, mtu akivaa kanzu au buibui ndo nyie mnamwita muislam......
Watu mnapenda Sana uchokozi kwakweli sasa mkulu yeye civcs hakufalu bado mnamwandama Sijui ni mushene(in voice of proff hammo)Kuwait zuia hao magaidi.
Hivi hii ni ile kuwait ya SADDAM?
Tabby;
Yu must be kidding. Nilisomaga vitabu vilivyo elezea jinsi ukristo ulivyopigwa vita duniani na kwamba ulitakiwa umalizwe kabisa. Ni nani kauweza??
Jamani mkitupa mawe kwa jirani iangalie nyumba yako ikoje. Rwanda hapa karibu nasi tu. Wale waliokimbilia kwenye makanisa, alipona nani?? Tusiwaangalie watu tuangalie ile roho mbaya kutoka kwa Bwana inayo wasukuma kutenda huo uovu. No one in his good senses will kill his neighbour. Kumbuka Hasegovina, Bosnia na kwingineko. Wakristo ndo walikuwa mstari wa mbele kuwaangamiza wasio imani yao.
Hiyo habari inapatikana hapo tu? Au unaipata kwenye media zingine?
Jiridhishe kwanza.
Hiyo site umeiweka pia ina habari hii
Visa ban by Kuwait: Pakistan envoy denies visa ban by Kuwait - The Economic Times
Changanya na zako.
Sasa kwani uongo allah ni shetan mkubwa lucifer na allah hata matendo yao yanalandana unacho kipinga ni nini hapo hata wafuasi wa lucifer matendo yao ni mamoja na wafuasi wa allah yaan hawana utofauti kabisaTabby;
Si weye umemwita Allah Sheitan?? Au nimesoma vibaya majibu yako kwamba huwezi ku be blackmailed umwabudu sheitwan Allah. Ndo maana nkakukemea kuwa mjibu aliyekuandikia wala usimwingize Allah
Tabby;
Yu must be kidding. Nilisomaga vitabu vilivyo elezea jinsi ukristo ulivyopigwa vita duniani na kwamba ulitakiwa umalizwe kabisa. Ni nani kauweza??
Jamani mkitupa mawe kwa jirani iangalie nyumba yako ikoje. Rwanda hapa karibu nasi tu. Wale waliokimbilia kwenye makanisa, alipona nani?? Tusiwaangalie watu tuangalie ile roho mbaya kutoka kwa Bwana inayo wasukuma kutenda huo uovu. No one in his good senses will kill his neighbour. Kumbuka Hasegovina, Bosnia na kwingineko. Wakristo ndo walikuwa mstari wa mbele kuwaangamiza wasio imani yao.
Acha uongo hakuna habari kama hiyo mbona mnapenda kuzusha sana nyie wazushi?Mkuu Isreal ndo wameshinikiza Kuwait kuwa piga marufuku hao wahamiaji? Nimeshindwa oanisha hizi mantiki
embu rudia kusoma tena taratibu nilikuwa namaanisha nini..pia angalia nilikuwa najibu nini...Acha uongo hakuna habari kama hiyo mbona mnapenda kuzusha sana nyie wazushi?
Log In
Home » Editor's Choice » Kuwait Issues Its Own Trump-esque Visa Ban For Five Muslim-majority Countries
Kuwait issues its own Trump-esque visa ban for five Muslim-majority countries
Published February
,
Donald Trump
,
Dubai
,
Tehran
Citizens from five Muslim-majority countries will no longer be able to obtain Kuwaiti visas, after reports the Gulf state issued tight entry restrictions that mirrored US President Donald Trump's Muslim ban.
Syrians, Iraqis, Iranians, Pakistanis and Afghans will not be able to obtain visit, tourism or trade Kuwaiti visas with the news coming one day after the US slapped its own restrictions on seven Muslim-majority countries.
Passport holders from the countries will no lot be allowed to enter the Gulf state while the blanket ban is in place and have been told not to apply to visas.
Kuwaiti sources told local media that the restrictions were in place due to the "instability" in the five countries and that the ban would be lifted once the security situation improves.
Pakistan and Afghanistan have all witnessed violence from extremist groups, while Syria and Iraq are embroiled in internal conflicts.
Although mainly peaceful, tensions between Iran and the Gulf have ratched up over the past year with the GCC powers accusing Tehran of attempting to destabalise the region.
Kuwait is concerned about the threat of extremist groups such as al-Qaeda and the Islamic State group with both militant organisations have a presence in Syria, Iraq, Afghanistan and Pakistan.
The Gulf state has witnessed a number of militant attacks over the past two years, including the bombing of a Shia mosque in 2015 which left 27 Kuwaits dead.
Kuwait responded by arresting dozens of suspected Daesh sympathizers and rolling out mandatary DNA testing programme and database for the Gulf state's 4 million population.
Kuwait reportedly issued a ban on all visas for Syrians in 2011, but allowed those inside the country to remain.
It made Kuwait the only country in the world to officially bar entry to Syrians, until the US named Syria in seven countries banned from entering.
Kuwait has issued a number of laws targeting foreigners in recent years, and made it one of the most unfriendly Gulf states towards expatriates.
In 2015, Kuwait was named as the worst place in the world for expatriates in a 64 country InterNations survey.
Meanwhile, Trump's Muslim ban has been met with widespread outrage since it was signed on Friday, although Gulf states have remained quiet on the issue.
Dubai security chief Dhahi Khalfan outraged Syrians and other nationalities included in the ban when he publically backed Trump's decision.
Kuwait issues its own Trump-esque visa ban for five Muslim-majority countries
Sorry, hivi Kuwait iko bara gani vile?
Ndugu chunga ulimi wako na afya yako. Pumzi unazovuta ni zawadi kutoka kwa Mungu. Afya yako ndio mtaji wako, mtafute Mungu utampata. Just be sincere.Sasa kwani uongo allah ni shetan mkubwa lucifer na allah hata matendo yao yanalandana unacho kipinga ni nini hapo hata wafuasi wa lucifer matendo yao ni mamoja na wafuasi wa allah yaan hawana utofauti kabisa
Hii habari ni ya mwaka gani?
Mimi nimeona habari ya mwaka 2011.
Published: 15:54 May 21, 2011
Link Kuwait bans visa issuance to five nationalities
Hii ya 2014
Link Six nationalities excluded from Kuwait’s new visa plan
Link2. Kuwait to ease restrictions on Syrian family visas
- CAPITAL:Kuwait City
- POPULATION:3.479 million (WB, 2014)
- LANGUAGES:Arabic (Official), English
Link3. Kuwait denies claims of mass deportations
aliesema Marekani nchi ya kikristo nani? Marekani ni nchi ya kikafiri tu.... au we unaiona marekani nchi ya kikristo? hebu nijuzeKwahiyo na ile kusema marekani ni ya kikristo was it right