Watachungulia na kukimbia, hawawez kuja maana ni wao kwa waoHii ni latest nadhani jana ama juzi angalia link hii mkuu:
Kuwait Visa Ban: Kuwait bans visa for 5 Muslim-majority countries, including Pakistan
Nasubiria mjadala "laivle" kama ulivyokuwa kwa huu wa juzi wa Trump...
Hawabaguani hakuana anayependa ugaidiKama nchi za KIISLAM ZINAANZA KUBAGUANA,basi Trump ATACHEKA sana sana kwa wale waliokuwa wanamwita MBAGUZI.
Waisraeli wanakupenda wewe?dini,mtume na mungu wao ni mmoja ila wao kwa wao
hawapendani wa hawasaidiani
hatari sana
kwani waisrael dini gani mkuu?Waisraeli wanakupenda wewe?
Old article,Wafia dini karibuni mje kuilaani kuwait kama mnavyomlaani Trump......
Wakristokwani waisrael dini gani mkuu?
WayahudiWakristo
Sasa mbona wakristo mnawapenda sana wayahudi.na kuwasifia wakati hawaikubali dini yenu.Wayahudi
Kuwaiti nchi ya kiislam kwani? 😀 msingi wa nchi ya kiislam inaongozwa na Khalifa, na katika dunia haiwezekani kuwa na makhalifa wawili wakati mmoja. Sasa sifahamu watu wanaposema kuwait ni nchi ya kiislam.
Sasa mbona wakristo mnawapenda sana wayahudi.na kuwasifia wakati hawaikubali dini yenu.
Watu wa Libya walifanya pupa kumuondoa madarakani rais wao Sadam Hussein, sorry Sadam ni wa KuwaitSorry, hivi Kuwait iko bara gani vile?
Unaanza spinning mchana mchana.. utabaki uchi humu..
Basi ili uridhike Kuwait ni nchi ya Kiyahudi... will tht sound good 4 u..?
Maamuzi binafsi,hata ninyi wapagani mnaweza kuwapenda na kuwasifia wayahudi.Hakuna anayewazuiaSasa mbona wakristo mnawapenda sana wayahudi.na kuwasifia wakati hawaikubali dini yenu.
Hiyo habari inapatikana hapo tu? Au unaipata kwenye media zingine?Hii ni latest nadhani jana ama juzi angalia link hii mkuu:
Kuwait Visa Ban: Kuwait bans visa for 5 Muslim-majority countries, including Pakistan
Nasubiria mjadala "laivle" kama ulivyokuwa kwa huu wa juzi wa Trump...