Kuwadi first class wa hapa cc anahitajika


Hivi bado unakipenda kifyanyio chako??.

Una meno mangapi au wewe ni kibogoyo???

CC Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hivi bado unakipenda kifyanyio chako??.

Una meno mangapi au wewe ni kibogoyo???

CC Erickb52

Nakipenda hiki kinini changu, lakini nakupenda zaidi na sana charminglady, achana na Mzee C6, na wapambe wake Bishanga na Erickb52, si unajua tabia zao. Kumbuka ndege wa aina moja huruka pamoja C6 hayupo salama

Lakini si nilikuomba usishiriki dia?
 
Last edited by a moderator:

Safi my hezbend kwa kunijali..... Miss u Mingi.............
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa
Iam here
Vigezo ni vipi? Nilete cv
 
Kuwadi?! wa kukuwadia mambo ya watu au?....watu si watasutwa humu ndani mpaka bhasss!!
 
Hahaha! najua wewe ni kibibi na umeachika, nataka ki2 kibichi, mpaka C6 anapagawa
mahari nitoe mie kuoa nioe mie, kudadndia udandie weweee , si unajitafutia majanga
 

Naomba tenda nna uzoefu sana na hiyo kazi!!!!!!!
 
khaaaaaa! Hii naikopi na kupaste mpaka kwa dada!

ndio tushafika mjini hivyo shem...lazima tusiache fursa zitupite...
halafu shemeg, mwenzio nataka kudozi ujue...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…