Kuwadi first class wa hapa cc anahitajika

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,309
Reaction score
1,552
Wapendwa wa Jukwaa hili!

Nimekuwa nikifuatilia mashindano na tuzo mbali mbali zinazotolewa kwa members wenye sifa mbali mbali hapa CC, mfano ile ya "Best couple"

Nimeshawishika kuleta hii khabari/jambo hili hapa tumpate mtaalam wa ukuwadi, akishapatikana-kuna kazi nataraji kumpa kwa malipo manono! Nataka kuwadi na si Mshenga, kwa maana hiyo King'asti (mshenga wangu kwa Preta hataruhusiwa) Preta my wife asisome huu uzi, @F.P, snowhite na Kipipi wasishiriki ni dada zangu, charminglady asishiriki coz yenye ndo wa kufanyiwa kazi, watu8 na platozoom hawaruhusiwi (Hawa ni watani zangu hata wakishinda wataleta utani na kuharibu mpango mzima), AshaDii, ajiweke pembeni kabisa, ataharibu P yake, Wiyelele asishiriki asije akataka kuzaa naye halafu akamtaka huyo mtoto kinguvu, wengine woote karibuni, @lara1, naomba uwe jaji (Mwenyekiti), Zinduna awe katibu, twende kazi
 
Hahahahaha umenipata hapa! Nadhani ningeshiriki, kwa sasa nimejifunza kwamba ukilea matatizo nayo yatakulea ipasavyo. So i am a good man, lovely and charming husband. Huwezi amini, mke wangu nami ni pete na kidole. Tena leo ninae hapa.....amechekaje!
 
Teh teh...hebu mwaga tenda hiyo kwanza...
 

C6 uko wapi ......kuna mtu anatafuta wa kumkuwadia kwa nkeo charminglady.......noa sime yako kabisa boma linavamiwa!
 
Last edited by a moderator:

nadhani wewe hunifahamu vizuri, muulize Erickb52 na yule jamaa aliyekuwa anamuandama mke wangu wa ndoa charminglady , sasa wewe ndio utakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama yako


mkuu Bishanga shukraniu kwa kunishtua maana huyu jamaa hajui kanda maalum kwa nini iliitwa hivyo
 
Last edited by a moderator:
Nakushangaa kama haukuokota jina langu. huu ujio umenifanya niwe bize hadi nasahaulika.
 

Utakuwa under probation, terms n condition hazibadiliki
 
andaa kwanza mdahalo kwakutumia lugha kinzani then ndio upitie cv zao
 
Nakushangaa kama haukuokota jina langu. huu ujio umenifanya niwe bize hadi nasahaulika.

Hahaha! najua wewe ni kibibi na umeachika, nataka ki2 kibichi, mpaka C6 anapagawa
 
Last edited by a moderator:

Kaka @C6, kama huwez kumtunza why usikubali hustahili kuwa na first class girl kama charminglady?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…