Kuwa wa kisasa okoa muda katika kusafisha maji

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
PUREWELL(water filter) ni kifaa kizuri sana kwa ajili ya kusafishia maji na kufanya yawe safi na salama.
Hautakuwa na haja ya kuchemsha tena maji.
Kifaa hiki pia kinatibu SI kusafisha tu minyoo ya aina zote.
[HASHTAG]#kichocho[/HASHTAG]
[HASHTAG]#safura[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Typhoid[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Minyoo[/HASHTAG] ya ngozi
Jipatie kwa 130,000 call/text 0715476787

1478920191418.jpg
 
PUREWELL(water filter) ni kifaa kizuri sana kwa ajili ya kusafishia maji na kufanya yawe safi na salama.
Hautakuwa na haja ya kuchemsha tena maji.
Kifaa hiki pia kinatibu na kusafisha tu minyoo ya aina zote.
*kichocho
*safura
*Typhoid
*Minyoo ya ngozi

Jipatie kwa 130,000 Call/Text 0715 476787

1478920432262.jpg
 
Ni shilingi ngapi,kinafanya kazi kwa muda gani bila kufanyiwa service na je kinasafisha maji yenye rangi ya kutu kuwa clear?...dar mko sehemu gan?
 
Bei ni TZS 130,000/-, inapiga kazi kwa miezi mitatu had minne bila service kulingana na uchafu wa maji. Dsm tunapakana Makumbusho. For more details 0715476787/0627408840
 
Je kinaweza kuyafanya maji yenye chuvi kidgo kuwa testless, hiyo service anafanya nan na je kinatumia umeme au self propelled??
 
Hapana hakibadirishi radha, hakitumii umeme pia service unaifanya mwenyewe kwa kuelekezwa au kama utapenda naweza kuja fanya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom