engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Mtu akikufadhili ujue hakawii hata kukuchukulia mkeo/mumeo na ukibisha anasema nakata misaada!! nimewahi kuwauliza rafiki zangu kama 12 hivi jamani kati yenu nani anasaidiwa budget yake ya kuishi kwa mwezi kwa asilimia lau 7?!! kila mtu alikaaa kimya manake kwamba hakuna na hivyo ni juhudi zao wenyewe kujijua wao wataishije ana familia zao... sasa hizi nchi za Kiafrika zinadharaulika sana na haya Mazungu na hiyo yte ni kwasababu ya Viongozi waoga na vilaza tulio nao...manake wanaiba hapa wanapeleka huko ulaya zinazalishwa halafu wanaomba mkopo kwa mtaji huo huo aliokwiba hapa Afrika hii ni aibu sana..
Tusisahau Ulaya imefilisika sana saivi wanaenda kuomba omba Uchina sasa hao ndio watusaidie sisi?!! are we serious?!! tuamke tukatae hiyo misaada njaa tutaweza kuishi bila hiyo misaada na vile vile tutafaidi uhuru wetu ama la watasema mssilale na wake/waume zenu jmamos mkipinga hakuna misaada !! ujinga huoo..**** You Cameroun pumbafu kwanza ulimuua Ghadaff SHOGA FANYA NA MAMAKO huko huko..pumbaf kabisa mrisya...
Utumwa wa fikra ndio adui yetu mkubwa. Tunadhalilishwa na wakoloni kwa ajili ya ujinga wetu. Leo wanatuambia tuwe mashoga ndio tupate misaada na sisi tunakubali. Nyerere alisema mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau. Wazungu wanatudharau kwa uroho wetu na uvivu wetu wa kufikiri.
Next time watasema tuingiliane kimwili na wazazi wetu, nasi tutakubali kwa kuwa tumejiaminisha akilini mwetu kuwa hatuwezi kuishi bila ya misaada
Kwa maisha ya mtanzania wa kawaida sioni kama hiyo misaada shogalizing ni muhimu yaani kusiwe na mjadala katika hili tuwape total ban kutusaidia na wawakilishi wakikubali uhanith huu ,tuwatimulie mbali kama wanahamu ya kuf..?@.rwa na kus,.?'gwaMtu akikufadhili ujue hakawii hata kukuchukulia mkeo/mumeo na ukibisha anasema nakata misaada!! nimewahi kuwauliza rafiki zangu kama 12 hivi jamani kati yenu nani anasaidiwa budget yake ya kuishi kwa mwezi kwa asilimia lau 7?!! kila mtu alikaaa kimya manake kwamba hakuna na hivyo ni juhudi zao wenyewe kujijua wao wataishije ana familia zao... sasa hizi nchi za Kiafrika zinadharaulika sana na haya Mazungu na hiyo yte ni kwasababu ya Viongozi waoga na vilaza tulio nao...manake wanaiba hapa wanapeleka huko ulaya zinazalishwa halafu wanaomba mkopo kwa mtaji huo huo aliokwiba hapa Afrika hii ni aibu sana..
Tusisahau Ulaya imefilisika sana saivi wanaenda kuomba omba Uchina sasa hao ndio watusaidie sisi?!! are we serious?!! tuamke tukatae hiyo misaada njaa tutaweza kuishi bila hiyo misaada na vile vile tutafaidi uhuru wetu ama la watasema mssilale na wake/waume zenu jmamos mkipinga hakuna misaada !! ujinga huoo..**** You Cameroun pumbafu kwanza ulimuua Ghadaff SHOGA FANYA NA MAMAKO huko huko..pumbaf kabisa mrisya...
Kwa maisha ya mtanzania wa kawaida sioni kama hiyo misaada shogalizing ni muhimu yaani kusiwe na mjadala katika hili tuwape total ban kutusaidia na wawakilishi wakikubali uhanith huu ,tuwatimulie mbali kama wanahamu ya kuf..?@.rwa na kus,.?'gwa
si wamalizie hamu zao wakienda kwenye hizo ziara za kuombaomba!
na hicho ndicho kijacho,kama umesikia pale Msowero Kilosa kunavyandarau vya wahisani vimeonekana kutoboka,mwenyekiti alipotaka kuliongelea hilo akaelezwa kuwa wahisani watakasirika-tunaumizwa kwa umasikini wetu wa kuombaomba,hivi kaka umeviona hivyo vyandarua vya wahisani? tundu lake nzi anapita je hapo ni kupunguza marelia ama kuyaongeza?
hahahahahahahahaha
polepole mkuu
Ndio maana vyandarua hivyo huku kwetu vinatumika kwenye bustani za mbogamboga kuzuia kuku..