Kuwa na subira ujipunguzie stress

Kuwa na subira ujipunguzie stress

pureman2

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,491
Reaction score
2,563
Ukosefu wa subira umeua ndoto nyingi, umekatisha maisha ya wengi, umewaingiza wengi kwenye majuto , na wengine wamekua wakiishi na stress na hofu kubwa.

Kulazimisha kuishi kesho yako Leo, au kuishi nje ya kipato chako au kuishi maisha nje ya msimu uliopo Sasa ni kujimaliza na kujipa unhealthy stress.

Ukosefu wa subira umefanya wengi kuwa na madeni lukuki, wengine wamezitoa nafai zao Kwa shetani Kwa mashariti na makafala kibao ya damu za watu au maisha duni ya wapendwa wao .

Ni kweli umesoma na kwa muda Sasa hujabahatika kupata ajira au kufungua kampuni Yako ...basi hii isiwe sababu ya kuwa mwizi, Malaya, au tapeli.

Umefanya kazi muda mrefu ila uoni progress nzuri, huna gari, nyumba , hujaoa au kuolewa inshort maisha Bado ni msoto tafadhari usikose uvumilivu ukajiapisha by any means utayatafuta mafanikio Kwa gharama iwayo yote hata ikighalimu kuchua rushwa, kuiba au kutoa uhai wa mtu.

Uko ndani ya ndoa , mwaka wa kumi sasa hujabahatika kupata mtoto , isiwe sababu ya kucheat nje ya ndoa, kumfukuza mkeo, kumsimanga, au kwenda Kwa mganga kufanyiwa ibada za kiagano na mashetani ili upate mtoto. Utajichumia janga ambalo litakupa majuto maisha Yako yote.

Mifano inaweza kuwa mingi, ila nachotaka ukione kamwe usi fake life, usitende isivyofaa au usiharakishe kile kilichochelewa Kwa njia ya mkato. Uwe na uhakika utajuta maisha yako yote.

Uhitaji wako uwe hamasa ya kupambana Ili ufanikiwe ila usiuufanye kuwa mtumwa au mateka hadi ikaleta masumbufu na stress Kali .

Wakuu ebu tuambie jambo ghani ulifanya Kwa pupa na ulipokosa subira ilikughalimu

Thanks.
 
Maneno kuntu[emoji817]
 
Hakuna kizuri chochote utakipata bila kuteseka hasahasa kwa wale waliotokea masikini....mimi kwa sasa nina umri wa 50+ nisingejitoa muhanga nikasubili subira leo nisingekuwa hata na mtoto wa kusingiziwa
 
Aisee kaka umenifanya nitafakari sana
 
Maisha haya ni kitendawili, Any way umeongea ukweli Mungu atuongoze.
 
This life usipo THINK BEYOND THE REALITY utaishia kupata hela ya chumvi na nauli tu. Ukikaa na mwenye ukwasiiiiii ataishia kukwambia JALI MUDA, JITUME,KUWA NA NIDHAM YA FEDHA na mengine yanayofanana na hayo. Ila kiuhalisia UTAJIRI uko nje ya hayo mambo . Ila ukishakuwa nazo ndo uta apply hizo slogan tajwaaa hapo juu za kujali sjui muda na mengineyo.
 
kuna kitu unataka kusema,tupe uzoefu!!
 
Back
Top Bottom