Kuwa na imani tu

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
913
Reaction score
547
Unaweza soma kila aina ya mchepuo/taaluma lakini kama haujiamini wewe binafsi haitatokea kwako. Faith+ Hard work.. Ukiwa na imani unatarajia kuona future yako sababu imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Hivyo unatakiwa kuamini kwanza inawezekana. Face fear ushiinde uoga na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…