Kuwa Mwangalifu Kazini (Scary)

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,858
Tunapokuwa Makazini hususani zile kazi za kutumia mashine kama vile za kusaga, kukamua au zenye kuhusiana na mizunguko... hatuna budi kufuata taatibu za kiusalama ili tufanye kazi kwa ufanisi na kuepuka ajali zinazoweza kutuletea ulemavu wa viungo.

Hapa chini ni mfanyakazi wa Jikoni katika moja ya mahoteli ambaye kwa sababu moja ama nyingine alijikuta yupo kwenye wakati mgumu sana, pale amkono wakeuliponasa kwenye moja ya mashine ya kusagia nyama. (Grinder Machine).

Picha zinatisha kwa kiwango chake...


Kama ni mwenye ROHO nyepesi tafadhali bonyeza hapa: disclaimer

Kama ni mwenye moyo mgumu srolling down...


*
*
*

*
*
*

*
*
*

*
*
*

*
*

*
*
*
*

*
*
*

*
*
*​
 
.....WWHHEEEEEW, Nadhani sitakula nyama ya kusaga kwa miezi kadhaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…