Eti wakuu , kuna haja gani kuendelea kuwa mshabiki tuu Wa Simba au Yanga wakati kuna option ya kuwa mwanachama hata kama uko mikoani ???
Kwanini usichukue hatua ya kuwa mwanachama kamili upate Kadi ya ATM yenye Rangi ya timu yako ???
Mbeya City mpooo?????
Hamkuachwa nyuma jiungeni Leo !!!
Kwanini usichukue hatua ya kuwa mwanachama kamili upate Kadi ya ATM yenye Rangi ya timu yako ???
Mbeya City mpooo?????
Hamkuachwa nyuma jiungeni Leo !!!