Ujasiriamali wahitaji kujikana,kuna wakati itakubidi ujitese wewe na wanaokutegemea ili lengo litimie,inakubidi uwe Mpole ktk baadhi ya watu japo dhihaka zina umiza,watu unaowazania ni msaada kwako watakutenga pindi unapoanza,ujasiriamali ni uhalisia thabiti wa usemi “Strong man shade blood before shading tears”,,kudos to all successful entrepreneurs