Kuwa makini sana ununuapo TV, kuna utapeli wa kuuziwa TV ya mbao

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Kuwa makini sana ununuapo TV kuna utaperi wa kuuziwa TV ya mbao.

15873048_1060294810759535_350129593086088963_n.jpg

15873419_1060294830759533_396282833290678163_n.jpg
 
Mi mtu akiniuzia hilo kanyaboya siangaiki cha polisi wala nini,naenda zangu kwa msisi kitakachomtokea atajua mwenyewe na familia yake
 
TBS jiteteeni
TBS ??? HAO WANAUZA SURA TU. BIDHAA FEKI ZIMEJAA KWA WAMACHINGA LUMUMBA WEWE UNATUTAJIA TBS ??? Airport wapo bandarini wapo na mipaka yote hata mitaani lkn vitu feki vimejaa mitaani
 
TBS ??? HAO WANAUZA SURA TU. BIDHAA FEKI ZIMEJAA KWA WAMACHINGA LUMUMBA WEWE UNATUTAJIA TBS ??? Airport wapo bandarini wapo na mipaka yote hata mitaani lkn vitu feki vimejaa mitaani

Umeelewa nilichoandika
 
Back
Top Bottom