Kuwa makini na utapeli huu

Kuwa makini na utapeli huu

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
397
Reaction score
201
Kuna matapeli wanajifanya ni Kampuni ya COCACOLA Promotion wanakuambia umeshinda 1 Milioni. Jamaa wanakuambia unaweza kutumia kwa Bank au Tigo Pesa. Unatakiwa kulipia kwanza 11,500.

Watanzania tujihadhari na huo wizi, pia usipende kupata hela kwa urahisi bila kufanya kazi yoyote. Wewe haujashiriki promotion yoyote inakuwaje uwe Mshindi.

Hiyo ndo message waliyotuma.

Tapel.jpg
 
Asante kwa taarifa. Lakini matapeli sometimes hawafikirii sana. kama mtu ameshinda 1 milion, si anawaambia hiyo hela wanayotaka watumiwe wakate kwenye hiyo milion aliyoshinda. Then inayobaki wakutumie mshindi.
 
Jamaa huwa hawakubali hiyo.
 
sasa Mbona Ni Vigumu Kutapelika Hapo?...Alafu Huo Mchezo Ulishapitwa Sana..utume Hela Kupokea Hela...Tena Ambayo Hujui Utaipata Au La!
 
Back
Top Bottom