Kuwa kiburi inasaidia sana

Kuwa kiburi inasaidia sana

Mpelekee mchungaji wako!!!
nyie ndio huwa mnafinyangwa kimya kimya na jamaa wanasepa kimya kimya.

mwisho wa siku mnajikuta mmejaza fuso na wale wanaoonekana wehu wamepitiwa na wawili tuu
Dear nimekusamehe maana hujui ulisemalo wala ulitendalo . I feel sorry for you and your generation to come. Because what you do to those women right now , prepare for your daughters and sons to be treat the same. Unless if you repent , and change your ways, & character .. Thanks...
 
haya mambo haya.....!!!:confused2::confused2:
 
Hawa watu kuwaelewa ni ngumu sana. Twaishi nao hivyo hivyo tu
 
Embu fanya hivi, hao unaowajali acha kuwajali na hao ambao huwajali anza kuwajali then uje utupe marejesho, kwani tutakuwa na sufficient evidence to form conclusion

Miezi miwili nadhani inatosha
 
Tatizo wewe ukiwa kibuli mwenzio anakua jeuri
Yaani ata sijui jema lipi,itabidi tuwazoeee
 
Habari za wakati huu wana MMU,

Leo nataka kutoa experience yangu kidogo kwanini demu akijua unampenda anakuwa anakusumbua? Nimekuwa mkatili na jeuri kwa warembo na nashangaa hao ninao wafanyia jeuri bado wananipenda na kunihitaji sana.

But kuna kawa wawili hao nawa treat poa sana yani bila kuwauzi but hao wanaonekana kuzingua zingua sometimes mikausho mikali mara wajirudi kiukweli wanasumbua akili yangu mmoja nimeshagegeda mmoja bado ananidanganya.

Hao wengine ninao treat vibaya wao yani wananikubali kiroho safi kabisa tena sio kwa kuwabembeleza, sasa why hawa ninaopenda na kutreat vizuri wana wenge?

Pole na pombe za uzeeni
 
Hii "eksipiriensi" mkuu nimekutana nayo pia mwanamke unayemeshimu sana mara nyingi,narudi mara nyingi(sio mara zote) wana-behave hivyo ,ukiamsha ndio anajifanya kujali/kupenda.tujitahidi kuwaelewa tu!
Mkuu ni kwenye mapenzi tu au kila kitu?
 
Aisee! Hata Mimi Nimejiuliza Hili Fumbo Nimeshindwa Kuelewa! Wanawake Nipasua Kichwa!
 
Mkuu ulichoniudhi ni kupangisha foleni
watoto wa watu kwa wakati mmoja.
Hilo sijalipenda,lakini nadhani
siku nyingine utujie na gharama
unayoingia kufanya utafiti wako huo
kwa vitendo.

usije ukawa mmojawapo
wa wale wanaosomeshwa na wazazi wao kwa
shida ukipata kazi mshahara wako
unaishia kutolea mimba za mabinti
unaowafanyia majaribio,kwa wazazi wako
unajitetea kuwa mshahara mdogo
wanalazimika kukupiga tafu pamoja
na kwamba walikusomesha kwa gharama kubwa.

Ukipanda kwenye .....
usitegemee kuvuna mema sanasana aibu tupu.
ushauri wangu tafuta mmoja tulia naye,
kama huyo,utaona ukimjali anasumbua ndo uje utwambie hapa.
 
Siku zote mwanaume rijali anaga sifa za kijinga .sasa ww mjomba kubali tu ww ni dhaifu kwa maduuu
 
Back
Top Bottom