Kuvusha na kusinzia darasani

Kuvusha na kusinzia darasani

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
Hivi unawezaje kuepusha kuvusha na kusinzia darasani. Yaan class nisiposizia kweny kipindi bas itakua navusha. Najitahid tahd kufuatiria mara ghafla nmevusha au nmesinzia. Msaada

(Kama hii thread unaiona ni shit, plz usicommet shit bora uipite tu ukaushe)
 
Dah pole sana aisee. Ila jitahidi kuwa unafuatilia kama kuandika summary na uwe una kaa na company ambayo itakufanya muongee mawili matatu.
 
Hivi unawezaje kuepusha kuvusha na kusinzia darasani. Yaan class nisiposizia kweny kipindi bas itakua navusha. Najitahid tahd kufuatiria mara ghafla nmevusha au nmesinzia. Msaada

(Kama hii trend unaiona ni shit, plz usicommet shit bora uipite tu ukaushe)
Usishibe cna mkuu
 
tafuta sehemu au nafas nzur ya kusomea au kukaa,kam ukiwa ni lecture room bhas jarbu hata kukaa mbele kabisa au sehemu ambayo ina hewa au ipo wazi kwa kias fulani kupunguza au kuepusha usingiz.mim nafanya ivo
 
Mkuu kaa mbele ukivusha au ukisinzia unapigwa swal[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mada yako imenivutia sana mkuu...Mimi nilikuwa na tatizo hilo toka sekondari mpaka chuo. Nilipokuwa O level nilikuwa sichukui round nasinzia. Walimu walikuwa wananisimamisha lakini pia baada ya mda nasinzia na hata kutaka kudondoka. Nilidhani ninaumwa sleeping sickness but nilipofatilia dalili zingine sikuwa nao na sitoki maeneo ya wafugaji. Nilipoenda A level pia hali ilikuwa hivyo hivyo. Chuo nilipofanya bachela Undio kabisa...Nusu ya mwanzo ya kipindi nakuwa active sana na huwa nauliza maswali ya challeji sana ktk somo husika ila nusu ya pili nakuwa taabani kwa mbonji. Ticha mmoja alishangaa sana nilipomuwekea msonge ktk somo lake (chuo) akasema kumbe huwa walala darasani lakini uko vizuri mno! Kitu nilichotambua ni kuwa huwa natafakari sana ninachofundishwa kwa hiyo damu huflow zaidi kwenye ubongo kuliko viungio vingine ili kusupply energy zaidi kwenye ubongo. Hii hupelekea viungo vingine kupata supply ndogo ya damu na hivyo energy hatimaye kuanzisha process ya kusinzia.
YAWEZEKANA NAWE IKAWA NI SABABU HII HII...BINAFSI SIKUGUNDUA NAMNA YA KUEPUKA NA HATA SASA NAJIENDELEZA KITAALUMA NA NAPATA CHANGAMOTO HIYO.
 
Umenikumbusha nikiwa high schoool kuna mwalimu wangu wa GEG alikuwa akifundisha darasa zima tunalala mpaka tukmamwita jina la piliton!!
 
Walimu tuna shida sana-just imagine unagundua wanakuita PIRITON utafanyaje?😡😡au😀😀 just LoL. Sitaki kuimagine sasa hivi wananiita nani?
 
Hivi unawezaje kuepusha kuvusha na kusinzia darasani. Yaan class nisiposizia kweny kipindi bas itakua navusha. Najitahid tahd kufuatiria mara ghafla nmevusha au nmesinzia. Msaada

(Kama hii thread unaiona ni shit, plz usicommet shit bora uipite tu ukaushe)
On a serious note kuvusha ndio nini? Kusinzia huwa nawaona nisaidieni hiyo nyingine niweze kusoma body language zao.
 
mimi mwenyewe kuanzia secondary mpaka Uni, nilikuwa naweza ku concetrate dk 40 tuu, baada ya hapo navusha, mpaka leo sijajua shida ninini.
 
On a serious note kuvusha ndio nini? Kusinzia huwa nawaona nisaidieni hiyo nyingine niweze kusoma body language zao.
kuvusha Ile hali unaonekana unafatilia lakn mawazo yapo mbali sana
 
Mada yako imenivutia sana mkuu...Mimi nilikuwa na tatizo hilo toka sekondari mpaka chuo. Nilipokuwa O level nilikuwa sichukui round nasinzia. Walimu walikuwa wananisimamisha lakini pia baada ya mda nasinzia na hata kutaka kudondoka. Nilidhani ninaumwa sleeping sickness but nilipofatilia dalili zingine sikuwa nao na sitoki maeneo ya wafugaji. Nilipoenda A level pia hali ilikuwa hivyo hivyo. Chuo nilipofanya bachela Undio kabisa...Nusu ya mwanzo ya kipindi nakuwa active sana na huwa nauliza maswali ya challeji sana ktk somo husika ila nusu ya pili nakuwa taabani kwa mbonji. Ticha mmoja alishangaa sana nilipomuwekea msonge ktk somo lake (chuo) akasema kumbe huwa walala darasani lakini uko vizuri mno! Kitu nilichotambua ni kuwa huwa natafakari sana ninachofundishwa kwa hiyo damu huflow zaidi kwenye ubongo kuliko viungio vingine ili kusupply energy zaidi kwenye ubongo. Hii hupelekea viungo vingine kupata supply ndogo ya damu na hivyo energy hatimaye kuanzisha process ya kusinzia.
YAWEZEKANA NAWE IKAWA NI SABABU HII HII...BINAFSI SIKUGUNDUA NAMNA YA KUEPUKA NA HATA SASA NAJIENDELEZA KITAALUMA NA NAPATA CHANGAMOTO HIYO.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] labda itakua kweli, nafikiria sana....
 
Hivi unawezaje kuepusha kuvusha na kusinzia darasani. Yaan class nisiposizia kweny kipindi bas itakua navusha. Najitahid tahd kufuatiria mara ghafla nmevusha au nmesinzia. Msaada

(Kama hii thread unaiona ni shit, plz usicommet shit bora uipite tu ukaushe)
kweli misamiati hubadilika na mda,kuvusha nijuavyo wakati niko boarding,ilimaanisha labda mko preper usiku,dame anaitwa kutoka darasa,anavushwa kupelekwa bweni la wavulana,anagongwa mpaka mda wa preper kuisha anarudi directly bwenini,ndo unasikia msamiati fulani kavushwa ama kavusha.
Au kuvusha msosi toka dining hall wakati wengine wako class kupeleka bwenini.

Anyway,jitahidi kuwa unaingia class na majani mawili matatu ya milaa,inasaidia kukata usingizi,
au azam energy
 
Back
Top Bottom