Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,171
Sio kweli, acha kupotoshaAtakuwa alitumia sana zile sindano za kuzuia mimba. Mwambie aache halafu muende hospital kuna dawa watawapa za kusawazisha
Sio kweli, acha kupotoshaAtakuwa alitumia sana zile sindano za kuzuia mimba. Mwambie aache halafu muende hospital kuna dawa watawapa za kusawazisha
N mm n Pm mkuu unipe hyo maelezoMkuu nimeku PM huko maelezo yote nimeweka kacheki tu
Nmeyaweka hapa hapa hayo maelezo make wengi wametaka iwe hivyo chek hapo juu mkuu
Sio kweli..hata kuwa ma stress tu za muda inaleta hormonal imbalance...plus kuadd sana weight nayo inachangia sana..thats why wanawake wengi siku hizi wana hiyo shida...ni lifestyle change ..kupunguza uzito na kujitahidi kuacha stressAtakuwa alitumia sana zile sindano za kuzuia mimba. Mwambie aache halafu muende hospital kuna dawa watawapa za kusawazisha
siyo kweli kuwa alitumia sindano za kuzuia mimba. Hiyo hali hujitokeza kwa baadhi ya akina mama bila hata kupiga sindano au kutumia kidonge cha kuzuia mimba hata kimoja.Atakuwa alitumia sana zile sindano za kuzuia mimba. Mwambie aache halafu muende hospital kuna dawa watawapa za kusawazisha
Hee jamani kwani twanjua huyo nkewe?? BaahSiri za ndani hazitolewagi hovyo kama unamwaga mchele au pumba kwa kuku... kwann usiende na mkeo kwa mtaalam au mbobezi wa maswala hayo uje umwage siri hapa jamii forums, una umri gani Comrade?! 😀