winderboy
Member
- Mar 8, 2022
- 36
- 27
Habari za jioni ndugu zangu?
Mke wangu anatatizo siku zake zina mvurugiko yaani hazijakaa sawa na mpaka sasa hana mimba. Je, mwanamke anapokuwa na tatizo hili anaweza kushika mimba? Pia, tatizo hili linamfanya mwanamke akose hamu ya tendo la ndoa?
Maana mke wangu tatizo hilo analo pia, tuna mwaka wa pili sasa kuna kipindi cha nyuma alikuwa kama ana mimba dalili zake zote alikuwa nazo nikasema hii yenyewe kumbe hola.je dawa gani atumie kuondoa tatizo hata hizi dawa za kienyeji itapendeza zaidi.
Samahanini kwa mwandiko m- baya na haraka ila msaada wenu ni muhimu kwangu najua humu kuna watu wa fani mbali mbali madoctor na wataaluma wa dawa za asili.