Kuvunjwa Bunge Rasmi

Kuvunjwa Bunge Rasmi

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2008
Posts
3,429
Reaction score
6,393
Kwa maelezo ya Mh. Rais alipokua anahitimisha Bunge la Katiba (aliita kitchen party) alisema Tarehe 20/08/2015 ndio siku ya kuvunja Bunge rasmi na hapo mawaziri wote wanatakiwa kukabithi ofisi. Na tuliambiwa sherehe kubwa (harusi ya kumtoa Mwali) ingefanyika

Mheshimiwa Rais kulikoni?
 
hahaaaa napenda sana watanzania wa leo....alijua hatutakumbuka sababu yeye aliona tarehe 20/8/2015 ni mbali. na pia mke (katiba) kagomewa na mumewe (wananchi)....so gharama zooote za kitchen party atueleze nani atazilipa?na hiyo harusi aliyoipamba kwa mbwembwe na jamaa yake six imekula kwao! wanalo hilo:mod::mod::mod:
 
Wewe rudi shule maana najua shule hazijafungwa. Elimu tu ya Civics ni kwamba mawaziri wataendelea kuwa mawaziri hadi hapo uchaguzi ukiisha.
 
Kwa maelezo ya Mh. Rais alipokua anahitimisha Bunge la Katiba (aliita kitchen party) alisema Tarehe 20/08/2015 ndio siku ya kuvunja Bunge rasmi na hapo mawaziri wote wanatakiwa kukabithi ofisi. Na tuliambiwa sherehe kubwa (harusi ya kumtoa Mwali) ingefanyika

Mheshimiwa Rais kulikoni?
Kwani Rais alisema kuwa kutakuwa na sherehe kubwa? Ninachojua ni kwamba leo mawaziri wote wamekabidhi ofisi kwa makatibu wakuu
 
Kampeni zikianza tu viongozi wa kisiasa isipokuwa Rais asiyegombea wanalazimika kukabidhi madaraka yao. Handing over zitafanywa na makatibu wakuu baada ya uteuzi. Waliotumika serikalini wanalijua hili. Labda libadilile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom