The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Mizimu wakati mwingine huacha maagano katika ulimwengu wetu huu kwa maana mizimu ni jamaa zetu waliotangulia mbele za haki
Lakini wakati mwingine mizimu ni roho za kishetani ama kijini zinazojitokeza katika umbile la ndugu zetu waliokufa hasa kama mtu huyo alifunga mikataba na majini ama mashetani na mikataba hiyo ni kama kupata utajiri wa kafara fulani ama kupata mali kwa kuingia mikataba basi mtu huyo anapofariki majini ama mashetani huwatokea ndugu za marehemu kwa umbile la marehemu na wengi wakidhani wametokewa na mzimu wao.
Hivyo kuna mizimu ambayo ni mashetani ya kijini yanayokuja kwa wajihi wa watu ambao walishakufa na watu wakadhani ndio wenyewe.
Unakuta mtu anamuona mtu wake wa karibu kama baba, mama, mke, mume, mtoto, dada, kaka, au rafiki ambaye kashafariki au kusikia sauti yake kabisa, akadhani ni mzimu, kumbe ni shetani wa kijini na anamtokea kwa lengo fulani kama ni agano ama kuja kumdhulu ama kumlaghai.
Karibu whatsapp utapata elimu kubwa juu ya mizimu lakini kubwa zaidi utajifunza kuhusu nyota na nk ikiwemo kutazama +255710452826
Kila binadamu aliyepo duniani ana watangulizi wake kama vile Baba, Mama, Babu, Bibi na kuendelea.. Watangulizi hawa wanaacha alama kwa kizazi chao kinachofuata. Unaweza ukawa na sura yao, tabia zao, Jina lao na hata kufanana kwa makundi ya damu.. Watangulizi hawa wanaweza kukuachia alama ambazo huwezi kuziona kwa macho wala kufananisha, mfano kutembea na hata kucheka au kutabasamu..
Watangulizi hao ambao tunawaita mizimu kawaida wana uhalali mkubwa sana kwetu na wana nafasi kubwa sana katika maisha yetu hapa duniani.. Wewe uliyepo hapa duniani huna nafasi ya kuishinda mizimu ya kwenu mpaka pale utakapovunja muunganiko wako na mizimu hiyo.
Binadamu anapozaliwa moja kwa moja anakuwa mali ya mizimu hiyo. Mizimu ina uwezo wa kuzuia mafanikio yako. Mizimu inaweza kikupa mafanikio pia. Mizimu inaweza kukuchagulia kazi ya kufanya na pia inaweza kukuzuia kufanya kazi fulani. Mizimu inaweza kukuepusha na majanga na pia kukuletea majanga. Hii itatokana na ufahamu wako kuhusu mambo hayo na maagano ambayo mizimu hiyo imeacha kwenu.
Whatsapp group NGUVU ZA KIROHO NA TIBA ASILI
Kutokujua habari za mizimu sio suluhisho la wewe kuokoka na nguvu za mizimu.
Mizimu ipo na ina nguvu kubwa sana katika kuathiri maisha ya mtu aliye hai ikiwa mizimu yako iliacha agano fulani hapa duniani basi litaathiri vizazi na vuzazi hadi kufa kwenu na ikiwa ilkacha mambo mazuri basi itanufaisha vizazi vyenu.
Katika ulimwengu kuna tawala nyingi sana.. Zipo tawala zinazoonekana na tawala zisizoonekana.. Tawala zinazoonekana ni hizi za marais, wakuu wa mikoa, wilaya nk.. Tawala zisizoonekana ndio utakuta yapo majini, mapepo mizimu na kuna tawala ikiyo kuu kuliko zote.. Mwanadamu ndio mtawala wa dunia hii..
Toka kuumbwa kwa mwanadamu, Mwanadamu amepewa mamlaka ya kutawala vyote vilivyopo ulimwenguni.. Lakini kwa sababu ya kukosa maarifa kama ilivyoandikwa basi mwanadamu huyu ameshindwa kutawala na amekuwa akitishwa na kuendeshwa na Majini, mizimu na nguvu tofauti za giza..
Na hawa wote wanafahamu wazi kuwa mwanadamu ndio mtawala wao.. Hivyo basi wanapigana usiku na mchana kuhakikisha kuwa mwanadamu huyu hapati maarifa ya kuwatawala..
Vita hii inapiganwa kwa kuwatumia mawakala wao ambao ni wanadamu au kwa kutumia Roho chafu zinazowaingia wanadamu na kufanya uharibifu.. Wanafanya hivyo kwa sababu wana uwezo wa kuona mafanikio ya mwanadamu hata miaka hamsini mbele.
Jiulize tu kwa nini mimba inashambuliwa toka kutungwa kwake (sio mimba zote)
Jilize tu ni kwa nini mtu ambaye hajafanikiwa kwa chochote kimaisha na bado anahangaika anasumbuliwa na wachawi na nguvu za giza.
Jibu ni kuwa nyota yake imeshaonekana na tishio lake kwa ulimwengu wa giza limeshaonekana hivyo anazuiwa kabla hajakomaa.
Ulimwengu wa Roho pamoja na mizimu una nafasi kubwa sana katika maisha ya mwanadamu aliye hai.
Wanaweza kukupa mafanikio, matatizo, magonjwa balaa na hata mikosi kutegemeana na nguvu walizo nazo kwa mwanadamu pamoja na uhalali au uhusiano walionao kwa mwanadamu huyo.
Mara nyingi mizimu huwa inachagua mzaliwa wa kwanza au wa pili katika familia.. Ifahmike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao..
Ila kutokana na Mwamko wa Elimu na dini mpya zilizoingia habari za mizimu zimeendelea kupoteza nguvu na wafuasi na taratibu elimu hii imekuwa ikipotea na watu hujikuta wakiangamia na kusingizia wachawi kumbe mizimu yao.
Lakini usumbufu wa mizimu bado umeendelea kuwepo kwa kiwango kikubwa katika maisha ya wanadamu bila wanadamu wenyewe kujua..
whatsapp +255710452826