redvirus
Member
- Jul 21, 2017
- 16
- 3
habari za majukumu wana JF
siku chache zilizo pita nilisikia tangazo katika radio moja kuhisiana na UUZWAJI wa viwanja katika manispaa ya CHAMWINO (Dodoma).
sikulipata vizuri hasa katika swala la mawasiliano na wahisika.
kwa yoyote mwenye taarifa sahii juu ya jambo hili naomba msaada wa kunijurisha
asante.