Kama ni hapo Mzambarauni, nivyema ukaanza kuuza matunda kama Machungwa, Ndizi, Tikiti, Matango na vitu kama hizo mkuu.
Na nimependa kukusisitiza ufanye mauzo jioni kwasababu hapo ni karibu Sana na sokoni, hivyo ukiamua kuuza mida ya jioni kwako itakua ni advantage kwakua upo kwenye njia panda pale inayo panda na kushuka upande wapili wa lami.
Naomba kuwasilisha,
Mungu akusimamie,
Asante,
Ushimen.[/QUOT
Ntafanyia Kaz as soon as possible