iku hizi Qualification za Vyeo ni Kuwa-Karibu na Waliokaribu na Jikoni; Tutajenga taifa la watu Wanyonge Kifikira, watu wasiopenda Kusumbua vichwa vyao bali Kujipendekeza na Kujitoa ufahamu ili Kupata Kuwini Maishi kwa njia fupifupi za Kizalizali.
It's who knows you,and not what you know interms of suitability. Ni issue ya Kuvamia majukwaa au Kuita vyomba vya habari na Kuanza kuunguruma huku ukiwashushia Mitusi na kashifa nzito Wale wasiotakiwa ndani ya Chama au nje ya Chama. Kwa Kufanya hivyo haichukui sekunde Unatoka Kifua Mbele na Kutulia Tuli.
Vijana wa CCM walishaijua hii mbinu na wote waliothubutu Kujitoa ufahamu na Kuwatusi wasiotakiwa Walipata zali na mambo yamewanyookea.