Kuuoa CHINA yataka moyo!!!!!!!!!

Mapigo yote nitakuwa nadondokea kunako utamu na kazi inaendelea.
 
Babu yangu alikua mkali sana wa hayo mambo so alinipigisha kidogo.
Hongera sana mkuu,nitafanya juu chini niujue huu mchezo huwaga unanitoa roho,hasa ninapoona wadada kwenye action movies wakifanya makeke yao.
 
They are very serious in relationship na wanalia sana, hawakupi pumzi. Mapenzi ni kama kazi (They take relationship very serious (nina maana ya wanawake wa kichina).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…