Kuuoa CHINA yataka moyo!!!!!!!!!

Kwa mtaji huo akae na utamu wake tu! Kisa cha kulala kwa mjumbe kila siku??
 
ahahaha mnaweza kuta bwana harusi kashakua marehemu ninyi hamjui mnafikiri yupo lazima mumpeleke kwa dranken master akamfundishe karate
 
hapo lazima uende kujifunza karate mwaka ndo uoe china....maana ukizingua utachapika
 
Mbele ya utamu, ukali wote huwa unapotea.
Nyuki na mahasira yake yote, lakini asali yaliwa sembuse mateke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…