IlakozeOnline Tv
New Member
- Jun 4, 2022
- 2
- 0
Dawa pekee ya kuchoma tumbo lako liwe tambarare..
Utachoma mafuta ya tumbo ndani ya wiki 2.
Katika kikombe cha maji ya moto ongezea maji ya limao nusu, kijiko cha chai cha pilipili manga , tangawizi kijiko kimoja cha chai , turmeric yaani binzari manjano kijiko kimoja cha chai..kijiko kijae vizuri ...
Changanya yaani koroga vitu vyote vizuri na kisha kunywa kikombe 1 kwa siku asubuhi na jioni kwa wiki 2 mfululizo.
Wanene msitumie hii dawa mtakonda muwe kama kalamu mnilaumu bure.
Tiba Asili kwa Afya ya kudumu