survivor03
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 131
- 21
Simu yangu inayo smart view lakini tatizo hai connect kupata screen mirror kwenye TCL SMART TV yangu mpaka nitumie option ya T-Cast ambayo haitoi screen mirrorUna kidude kama icho kwenye simu yako ndo kitakuwezesha kufanya vile unatakaView attachment 1548386
Natumia TCL SMART TV 4K ina option ya T-cast tu haina screen mirror sasa kila nikijaribu nipate screen mirror ndio nafail hapo... nimejaribu smart view inazingua haiconnect sijui kama kuna njia nyengine tena?Washa TV ingia kwenye source chagua Screen Cast (Mirrow view) Any view cast au jina lolote linaloashiria Casting program
Then njoo kwenye simu yako washa hyo program angalia kama TV yako inaonekana, mara nyingi utaona inaitwa SmartTV click hapo, then kwenye tv utaona inaandika "Creating connection" ikimaliza utaona simu yako iko projected kwenye TV
Hapo sijui shida nini boss mi kwangu ina connect bila shidaNatumia TCL SMART TV 4K ina option ya T-cast tu haina screen mirror sasa kila nikijaribu nipate screen mirror ndio nafail hapo... nimejaribu smart view inazingua haiconnect sijui kama kuna njia nyengine tena?
Kabla hatujaendelea mkuu Tcl yako ina operating system ipi? Zipo za Roku, Android na linux/opera. Angalia kwanza hapo, ukishindwa kujua tuma model tuangalie.Habari wakuu naomba mwenye kufahamu anielekeze jinsi ya kuunganisha smart tv ya TCL inches55 na simu smartphone ya samsung A 20s, maana natumia T-CAST tu kwa mobile hotspot.
Nilikuwa nataka nitumie smart view kwa mirroring, yaani chochote unachokifanya kwenye simu kionekane kwenye tv.
Kiongozi..Kabla hatujaendelea mkuu Tcl yako ina operating system ipi? Zipo za Roku, Android na linux/opera. Angalia kwanza hapo, ukishindwa kujua tuma model tuangalie.
Una connect kupitia nini? Hotspot au? Maana nikibonyeza kwenye simu yangu smart view lazima uizime hotspot.. ikizima hotspot haijiunganishi na smart view.Hapo sijui shida nini boss mi kwangu ina connect bila shida
Nikisha washa Anyview cast kwenye TV inaonesha jina la smart tv, nikiwasha hiyo Cast kwenye simu nitaiona smart tv nikibonyeza ina connect bila shida yoyote hata PC yangu ina connect (windows 10).View attachment 1549437
Kuna uwezekano mkubwa ni ya variety ya linuxKiongozi..
TCL MODEL:LED55P6000US
Hivyo ndio inavyoonyesha kwenye tv huwa naunganisha kwa mobile hotspot.. inaunga internet na pia hiyo tcast View attachment 1549530Kuna uwezekano mkubwa ni ya variety ya linux
Kwenye hio T-cast ya tv ukiingia kuna option 3? Ipo option ya wifi direct? Jaribu kutumia hio
Kwenye samsung nenda setting kisha kwenye connection ingia wifi kwa juu utaiona wifi direct.
Widi haitumii hotspot fanya kama nilivyosema hapo juu, wifi direct ina namna yake ya ku connect.Hivyo ndio inavyoonyesha kwenye tv huwa naunganisha kwa mobile hotspot.. inaunga internet na pia hiyo tcast View attachment 1549530View attachment 1549531
OkWidi haitumii hotspot fanya kama nilivyosema hapo juu, wifi direct ina namna yake ya ku connect.