survivor03
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 131
- 21
Habari wakuu naomba mwenye kufahamu anielekeze jinsi ya kuunganisha smart tv ya TCL inches55 na simu smartphone ya samsung A 20s, maana natumia T-CAST tu kwa mobile hotspot.
Nilikuwa nataka nitumie smart view kwa mirroring, yaani chochote unachokifanya kwenye simu kionekane kwenye tv.
Nilikuwa nataka nitumie smart view kwa mirroring, yaani chochote unachokifanya kwenye simu kionekane kwenye tv.