Ofisi yangu ipo Sakina,Arusha
Natumia TTCL imeunganishwa na simu ya mezani na route ZTE ZXV10 W300 Series, natumia kifurushi cha NDUKI
Nataka kununua router separate kutokana na kwamba ofisi tayari imeshafanyiwa wiring,na tuna pata internet japokuwa siyo ya kasi na hukatika mara kwa mara.So nikinunua router ambayo itakubali kuingia modem yoyote will be easy to choose service provider.
Asante,nategemea kusikia mengi toka kwako.