Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.!
Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia Internet yenye kasi kupitia mitandao mbalimbali ya simu.
1.Naomba kujua Router aina ipi ni nzuri zaidi ya bei yake.
2.Mtandao gani wa simu ni mzuri kutumia uwe na kasi na gharama nafuu.?
Hivi sasa tunatumia TTCL ina iko slow sana na huwa inakatika katika mara kwa mara.
Nitashukuru ushauri nikiupata hapa jukwaani au PM au 0787140432.