Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,544
- 4,472
Hayo siyo majibu Ni malalamiko yako subiri wajuvi wakuyee!!
Hizo Ni theory tu Ni kufikirika to mchango wa hoja eng...Soma hiyooooo..Umeme wa mavi hata wa stieglers hauoni ndani. Jiandae kuchoma nyumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ww iyo ya umeme wa Kinyesi ni nadharia tuuHizo Ni theory tu Ni kufikirika to mchango wa hoja eng...Soma hiyooooo..
Hii ya umeme wa kinyesi siyo nadharia mkuu Ni ishu yenye logic mfano was biogas ya umeme wa kinyesi Cha ng'ombe na pia Ni ajira lazima tucheze na fursa mi naishi bush na huku umeme Ni shida/tatizo Sasa hujui tatizo hutengeneza fursa ktk Jamii?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata ww iyo ya umeme wa Kinyesi ni nadharia tuu
Wakuu habarini za jumapili. Rejeeni mada hapo juu nipo dillema Sina umeme hapa nyumbani kwa miezi 5 Sasa toka nilipie nguzo Moja tanesco Kila Leo nguzo hakuna na watoto kusoma prepal Ni shida yaani hapa Ni kula na kulala tv mpaka kwa jirani Sasa choo kipo fresh tu naombeni mbinu za kutosha niunde umeme wangu wa kinyesi chetu hapa home ili tupate nishati ya umeme soon huku tukisubiri umeme wao.Nb.naomba kujua vifaa vipi vya huu mradi wangu mpaka umeme uwake kinyesi kipo ok abc nyingine ndo mtihani.KARIBUNI WADAU WA TEKINOLOJIA YA NISHATI YA UMEME.
Hapana wewe siyo Mimi Bali Mimi Ni wewe mkuu naomba tuyajenge tuunde umeme kinyesi wetu shida huzaa fursaMkuu wewe ni mimi au?,nimelipia sasa huu mwezi Wa tatu lakini kila Mara napigwa kalenda tu,kwa kweli serikali inabidi iwamulike hawa tanesco kwa ukilitimba wao wao Wa kukaa na pesa za watu bila kutoa huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na umeme wa kinyesi cha binadamu ambao mara zote watu huwa wanaongelea ni umeme wa DC ambao watu hutumia Battery/ Dry cells ambazo hufungwa na kutumbukizwa kwenye Ceptic tank ambapo kutokana na reaction ya kinyes na joto kali hupelekea chemical reaction kwenye battery na hivyo battery kuzalisha umeme mwingi na stable kwa muda hadi ambapo chemikali za battery zitaisha nguvuHii ya umeme wa kinyesi siyo nadharia mkuu Ni ishu yenye logic mfano was biogas ya umeme wa kinyesi Cha ng'ombe na pia Ni ajira lazima tucheze na fursa mi naishi bush na huku umeme Ni shida/tatizo Sasa hujui tatizo hutengeneza fursa ktk Jamii?
Hapo nakusoma mkuu nipe ujizi wa kutosha maana Giza kinaniathiri mkuu Kama Ni battery mbovu kesho nikatafute mjini au Ni battery lenye Hali gani linatakiwa mkuu ili nianze mradi wangu soon?Any way. Mm ni mtaalamu wa umeme. Kinyesi cha binadamu huwezi tengenea bio gas. Hata kinyesi cha wanyama kinachotumika kutengenezea bio gas sio cha wanyama wote. Inategemea na makundi ya vuakula wanachokula Na umeme wa kinyesi cha binadamu ambao mara zote watu huwa wanaongelea ni umeme wa DC ambao watu hutumia Battery/ Dry cells ambazo hufungwa na kutumbukizwa kwenye Ceptic tank ambapo kutokana na reaction ya kinyes na joto kali hupelekea chemical reaction kwenye battery na hivyo battery kuzalisha umeme mwingi na stable kwa muda hadi ambapo chemikali za battery zitaisha nguvu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu inaeleke nyumba yako ni mpya. Obviously haiwezi kuwa na choo chenye kinyesi cha kutosha. U beter wait for TanescoHapo nakusoma mkuu nipe ujizi wa kutosha maana Giza kinaniathiri mkuu Kama Ni battery mbovu kesho nikatafute mjini au Ni battery lenye Hali gani linatakiwa mkuu ili nianze mradi wangu soon?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu inaeleke nyumba yako ni mpya. Obviously haiwezi kuwa na choo chenye kinyesi cha kutosha. U beter wait for Tanesco
Mm sipo huko mkuuAsante mkuu kwa ushauri ila Kuna shida huko kwa Ally happy iringa
Mkuu wewe ni mimi au?,nimelipia sasa huu mwezi Wa tatu lakini kila Mara napigwa kalenda tu,kwa kweli serikali inabidi iwamulike hawa tanesco kwa ukilitimba wao wao Wa kukaa na pesa za watu bila kutoa huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mimi na akili timamu nitoe rushwa ili kupata umeme? Mi napenya mwenyewe suala lipo mezani soon nguzo zikitimba nawasha umeme Sina akili mbovu za kutoa rushwa kwa mtu anayelipwa mshahara kwa Kodi zetu.Umeangalia deni la Taifa linasoma ti ngapi?Penyeza rupia upate wepesi,bila hivyo utalalamika sana na haikusaidia,kwanza hapa unapoleta malalamiko unatumia fake ID,pia hujasema ulilipia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Penyeza rupia upate wepesi,bila hivyo utalalamika sana na haikusaidia,kwanza hapa unapoleta malalamiko unatumia fake ID,pia hujasema ulilipia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
unatumia
Unahitaji umeme wa mwanga tu au mwanga,TV na kupikia? Nianze kujuaa mahitaji then nifuate badgetWakuu habarini za jumapili. Rejeeni mada hapo juu nipo dillema Sina umeme hapa nyumbani kwa miezi 5 Sasa toka nilipie nguzo Moja tanesco Kila Leo nguzo hakuna na watoto kusoma prepal Ni shida yaani hapa Ni kula na kulala tv mpaka kwa jirani Sasa choo kipo fresh tu naombeni mbinu za kutosha niunde umeme wangu wa kinyesi chetu hapa home ili tupate nishati ya umeme soon huku tukisubiri umeme wao.Nb.naomba kujua vifaa vipi vya huu mradi wangu mpaka umeme uwake kinyesi kipo ok abc nyingine ndo mtihani.KARIBUNI WADAU WA TEKINOLOJIA YA NISHATI YA UMEME.