Kuuliza sio ujinga

BILLY BLANCE

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Mimba huonekana baada ya muda gani na ina dalili kama za kuona Mwezi kwa Mwanamke.
 
kama ni mwembamba baada ya miezi 3
kama ni mfupi baada ya miezi 2
kama ni mrefu na mnene baada ya miezi 5
 
K nime wapata enhe zime pita siku tatu kapima na UTP imeonyesha hana je ni siku za kupima au
 
wengine wanapata dalili kama za kupata siku mfano, kiuno kuuma, maziwa kujaa na kuuma pia.
Maumivu ya tumbo kwa wale wenye chango, na kichefchef pia kwa walio wengi.
Dalili ni baada ya wiki mbili tangu mimbe kutungwa
 
K nime wapata enhe zime pita siku tatu kapima na UTP imeonyesha hana je ni siku za kupima au

Sijaelewa swali lako mkuu hebu edit kidogo na vifupisho usipende kutumia si kila anajua unachomaanisha
 
Sio lazma kichef chef na kutapika...havihusiani. Inategemea mtu na mtu.

Wew unayeulizia muonekano wa mimba..nini shida yako???
 
Baada ya mwezi mmoja atatizamia kama siku zake atazipata. Asipozipata ni dalali y kwanza hiyo. mwezi wa pili mwishoni wa tatu mwanzoni ataanza kujihisi kuchoka bila sababu, kutotamani karibia vitu vingi, kichefuchefu/kutapika. Hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…