BILLY BLANCE
Member
- Jul 6, 2013
- 19
- 2
Mimba huonekana baada ya muda gani na ina dalili kama za kuona Mwezi kwa Mwanamke.
kama ni mwembamba baada ya miezi 3
kama ni mfupi baada ya miezi 2
kama ni mrefu na mnene baada ya miezi 5
kama ni mwembamba baada ya miezi 3
kama ni mfupi baada ya miezi 2
kama ni mrefu na mnene baada ya miezi 5
Eti mimba huonekana baada ya mda gani na ina dalili kama za kuona mwezi kwa mwana mke
ndani ya mwezi tu utasikia kichefuchefu kwa wiingi na kutapikaDalili je baada ya mda gani
K nime wapata enhe zime pita siku tatu kapima na UTP imeonyesha hana je ni siku za kupima au
K nime wapata enhe zime pita siku tatu kapima na UTP imeonyesha hana je ni siku za kupima au
K nime wapata enhe zime pita siku tatu kapima na UTP imeonyesha hana je ni siku sahii za kupima au
Kujua dalili na mda wa za kutokeaSio lazma kichef chef na kutapika...havihusiani. Inategemea mtu na mtu.
Wew unayeulizia muonekano wa mimba..nini shida yako???
Shule hazijafunguliwa..?
kama ni mwembamba baada ya miezi 3
kama ni mfupi baada ya miezi 2
kama ni mrefu na mnene baada ya miezi 5
​habari ndo hiyo mamaAiseeeeh hatariii