Kuuliza sio ujinga jamani!!

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,107
Reaction score
38,724
Wakuu salam kwenu
Mara kadhaa nimesikia hapa JF msemo wa kwenda Zimbabwe! sikuwahi kujua maana yake ni nini na asili ya msemo huo, na huko Zimbabwe ni wapi? na kama ni msemo wa tafsida maana yake ni nini?
Heri ziwe nanyi.
 
Nadhani asili yake ni jeshini.Kuna msaragambo mmoja ulitokea Zimbabwe sasa makamanda wakawa wanaimba kuamsha morali

Hii chenja tumeendea sana mabio pale 821
 
Roma Mkatoliki atufafanulie. Nimejaribu kuuliza Google lkn wapi tehteh... Zimbabwe nafikiri ni lugha ya picha ikiwa ni nchi/mahali flani hvi......!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…