Kuuliza si ujinga!!!

Kuuliza si ujinga!!!

Jf sasa nadhani imefika pahala kuruhusu imri fulani katika baadhi ya jukwaa. Huez nambia una miaka 27 hujui hata jukwaa linalohusika na hiyo post yako liko wapi
 
Jamani naomba kuuliza then mnisaidie kunizibua mackio yangu!
Kunademu flani hv anapendaga sana kukaa namm karibu,na asiponiona anasema hana raha kabisaaa!, na anapokua karibu namm anapendA sana kunishikashikA nakunichekelea! Alafu ukizngatia niMke wa Jamaa flani hvi namjua kwa sura co kiundani zaid.
Je hv inakuaje huyu mwanamke anamaanisha nn au ananizinguazingua tu ilimrad asikose mtu wakuchekacheka naeee!!???

utakuta wewe nijitu kubwa kwel lakn huna fikla ya kitugan cha ku post,na kama si jitu kubwa bas nakushaur nenda kamseme kwa mamako
 
Matokeo ya darasa la saba hujaenda soma ubaoni uende form 1...nice studz ukianza sawa dogo.
 
Back
Top Bottom