Wabongo problematic sana.
Mtu anaomba ushauri, anapewa za uso. Anakandiwa demu wake badala ya kumsaidia.
Hapa hatujuani na si vema kumpangia mtu maisha yake wakati humjui.
Haituhusu, KWA NINI anataka kwenda Sea Cliff na KWA NINI anataka kutumia 80,000 na demu yake.
Tuache tabia za kitoto. JF siyo FB.