Kuuliza si ujinga

kampelewele

JF-Expert Member
Oct 13, 2014
2,963
2,345
Kwetu magazeti yanachelewa kufika. Katika Gazeti la Mwananchi la jana tarehe 01.02.2016 kuna taarifa hii
CK.jpg

Swali:- Je huyu ndiye CK wa Wema na akina Kajala?
 
Hao ni watumishi katika wakala wa gazeti.....
Sio huyo, clement wao alikua ikulu
 
Umesoma huyo maelezo kwenye kipande cha gazeti?
Huyo CK wa hao jamaa alikuwa anaitwa Clement Kiondo na alikuwa ubalozini. Nadhani ndiyo huyo na kama ni gazeti si mali ya Serikali kwa nini iwe na nembo ya Serikali? Angalia kwa undani hilo tangazo rafiki.
 
Hao ni watumishi katika wakala wa gazeti.....
Sio huyo, clement wao alikua ikulu

Kwanza hilo ni gazeti gani? Mwanzisha thread anasema ni Mwananchi, je hiyo nembo ni ya Mwananchi?

Aliposema Wakala Wetu, alimanisha wetu kina nani, gazeti au walipolipia tangazo.
 
Kuhusu nembo iliyo kwenye tangazo hiyo ni nembo ya Wakala wa Ndege za Serikali (Government Flight Agency kwa kifupi GFA).
 
Back
Top Bottom