impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,732
- 7,611
Sahau
Lazima watupe majibu/mrejesho.
Lazima watupe majibu/mrejesho.
Mtu sensitive hivyo atangazwe alipo kweli unamtakia mema au? Mbona nilimwona Manara akiishangilia timu yake juzi?? Mbona huulizi alitoka lin i? Nadhani hutapata jibu unalohitaji kwa sababu utavuruga upelelezi. Tulia tu kwani Mo kishatokea.
We ndo Msemaji wa Jeshi la Polisi?
Movie ishaisha na hutasikia mtu yeyote kakamatwa na taxi driver feki keshamaliza kazi aliyipewa na watekaji hewa! Trump aliona mbali sana!
Hamna kitu wa Tanzania ni kama mtoto unamchapa akilia sana unamuonyesha katuni ya tom na jerry ananyamaza