Kuuliza si uchochezi: Hivi yule dereva wa taxi anayetuhumiwa kushiriki katika tukio la kutekwa kwa MO amewahi kupandishwa kizimbani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Wadau,hivi yule dereva taxi anaetuhumiwa kushirikiana na watu wanaodaiwa kumteka Mo amewahi kufikishwa mahakani?

Au upelelezi bado unaendelea?

Na kama unaendelea; je,si kweli kuna watu huwa wanashitakiwa na kupelekwa mahakamani wakati upelelezi ukiendelea?

Alafu mtuhumiwa yuko mahabusu ya wapi?

Kama yuko mahabusu waliopelekwa Mhe Mbowe na Mhe.Matiko,nawashauri wakiwa huko wajaribu kupata taarifa zake kama kweli yuko huko.

Na kama ameonekane hahusiki; je,kaachiwa?

Ni hayo tu.
 
ukipata majibu ya maswali yako haya mkuu, unitonye!
 
upelelezi bado unaendelea. Ngoja sikukuu ya xmass ipiteeeee, usiingize siasa kwenye mada ka hizi
 
Mbona yule bwana yuko nje siku nyingi sana na anaendelea na kazi yake kama kawaida!
 
Believe me hata Kama watanzania NI kweli Watu wa hewala hewala ila HILI la moh na la koroshow NI matukio yanafukuta chini chini.
Itafahamika tuh
 
Mtu sensitive hivyo atangazwe alipo kweli unamtakia mema au? Mbona nilimwona Manara akiishangilia timu yake juzi?? Mbona huulizi alitoka lin i? Nadhani hutapata jibu unalohitaji kwa sababu utavuruga upelelezi. Tulia tu kwani Mo kishatokea.
 
We ndo Msemaji wa Jeshi la Polisi?
 
Movie ishaisha na hutasikia mtu yeyote kakamatwa na taxi driver feki keshamaliza kazi aliyipewa na watekaji hewa! Trump aliona mbali sana!
 
Back
Top Bottom