meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 483
- 1,166
HatariMbona wagonjwa tunao wengi,
kujaziana Panya tu hawajui,
Hilo nalo nitatizo la akiliKuna vitu vingine ananunua babe mfano nguo unavaa hadi inachanika ama inakubana ila kuitupa inakuwa ngumu unaacha tu uwe unaiona ufurahi
Yeah,ni kweliHilo nalo nitatizo la akili
Kama imechakaa tupa mwambie bby akununulie mpyaYeah,ni kweli
Mfano Faiza na lichupi lakeKuna vitu vingine ananunua babe mfano nguo unavaa hadi inachanika ama inakubana ila kuitupa inakuwa ngumu unaacha tu uwe unaiona ufurahi
Mfano Faiza na lichupi lake
Ile sijui alinunuliwa na sugu 😂😂Ile ile
Yaniiii yule ndo kichaa haswaIle sijui alinunuliwa na sugu
Tuna ugonjwa wa akili my dear😅Mimi upande wa nguo nahisi nina ugonjwa huo.
Kabatini nina nguo nyingi ila nina kaugonjwa mwingine nikishikilia nguo moja hiyo hadi niikinai.Tuna ugonjwa wa akili my dear😅
Una nyota ya ufundi garage.Kabatini nina nguo nyingi ila nina kaugonjwa mwingine nikishikilia nguo moja hiyo hadi niikinai.