Kutunza vitu usivyotumia Ni ugonjwa

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,269
Points
2,000

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,269 2,000
Nimecheka maana inanigusa hiii...kweli ule msemo katika watu 10 kuna kichaaa mmoja Nakubali aseee,kumbe duniani ndo kugumu hivi kukidhi vigezo vya utimamu.?! sikujuaga
 

Chloe 92

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2018
Messages
296
Points
500

Chloe 92

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2018
296 500
Mm ndio nshashindwa kurundika mavitu sipendi naona uchafu...nashea chumba na ndugu yang mmoja ananikeraaaa maviatu ya toka mwaka gani sijui kayaweka hata havai, manguo ndo balaa had harufu yamerundikwa tu havai na kugawa hatak bas avae hatak kero tupu
 

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
2,437
Points
2,000

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
2,437 2,000
We nawe ulirahisishiwa kula mzigo through youtube ,mwenzako yuko sahihi
Unakua na nguo za ndani zimechakaa unashindwa hata kuzichoma moto kuna ex wangu flan wa kichaga anapesa kweli na mzuri kweli siku hiyo kaja home kumbe ndio siku aliyovaa chupi imetoboka kwa kweli nilimdharau na kumshusha
Thamani
 

mkabasia

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
1,929
Points
1,500

mkabasia

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
1,929 1,500
Sipendi kurundika vitu ndani,nagawa Sana nguo mtu akitoka kijijini lazima aondoke na mzigo wa maana.Hawa wa humu mjini naogopa kuwapa mtu anaeza sema umemdharau kumpa nguo ambazo ushavaa,kitu ambacho sio.
 

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,804
Points
2,000

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,804 2,000
Unakuta mtu kamaliza perfume anatunza chupa, kamaliza lotion hatupi kopo dressing table imejaa kama dampo. Maviatu na nguo ya miaka nenda rudi havai, hagawi yanajaza tu space.
Jikoni sasa ndio hakufai.... Vikopo kama sita vya blueband iloisha, makontena ya ice cream, thermos imepasuka, hotpots zimechokaaaa... Yani vimejaa vinakua kama takataka jiko linakosa mvuto.
Huu Ni ugonjwa unaitwa Obsessive Compulsive Disorder ama Hoarding disorder.
Mara nyingine mtu ananunua kitu halafu hana matumizi nacho kinajaza tu nafasi. View attachment 1086416
Ugonjwa unaitwaje?
 

Forum statistics

Threads 1,344,047
Members 515,313
Posts 32,805,999
Top