Ndoa nitakatifu na ilianzishwa na Mungu na unapoamua kuoa au kuolewa ni kuwa umeamua kuishi na mwenzi wako kwa hali na mali
kwenye shida na raha.kudumisha ndoa vitu muhimu vinahitajika
1 Busara
2Uvumilivu
3 upendo wa dhati
4 uaminifu
5 ukweli
6 heshima
na mengine mengi ila sasa cha muhimu ni kumjali mwenzio na kumfanyia mambo ambayo nawewe ungependa kufanyiwa kwa mfano kama usingependa mwenzio asi cheat nawe usicheat kama hupendi kugombezwa usigombeze kama hupendi kudanganywa usidanganye yaani kama yale unayopenda kufanyiwa utammfanyia mwenzio utamfanyia mwenzako mtakuwa na ndoa yenye furaha
KIKUBWA ZAIDI YA YOTE NDOA YENU MSHIRIKISHENI MUNGU
FAMILIA IOMBAO PAMOJA HUKAA PAMOJA KATIKA UPENDO

Kila kitu ukimtanguliza Mungu yote yanawezekana anasema Omba nawe utapewa so ukimwomba Mungu ni mwaminifu atakujazi.Shukran sana mpendwa, namuomba sana mungu nimpate mme mwema ambaye tutaweza kujenga na ndoa takatifu
mimi sio mtoa huduma za kiroho ila namwamini Mungu nanajua unaweza kila kitu ukimshirikisha shida ni kuwa tunafuata tamaa zetu wenyewe tunaangalia outward instead of inward of a person.kuhusu vishawishi ukishaamua kuwa na mtu never look for other things jiepushe navyo ila mwombe Mungu atakupa nguvuYawezekana we ni mtoa huduma za kiroho. Asante ila yataka moyo ndg yangu. Ulimwengu una vishawishi vingi.
you are welcomethat really fact,thanks
ni kweli hapoasante sana shoshte laiti kama haya yote yangekuwa yanafanyika ndoa ingekuwa ni paradise ndogo
It sounds but upo kwenye hiyo ndoa???