Wakuu nina jamaa yangu yuko Belgium na anataka kunitumia Tablets kama piece tano hivi. Napenda kujuwa ni njia gani rahisi na salama zaidi kwa yeye kunitumia hizo Tablets?. Asanteni wakuu.
We we we humtakia mema mwenzako atume posta ,hapo ataona manyoya tu kuku atakuwa keshaliwa zamaani tuma hizo courier kama FedEx au DHL,mimi nawaaminia DHL ingawa ni gharama lakini utapata,au ulizia kama kuna mtu anakuja huku bongo akitoka zinakotumwa mwambie jamaa atafute kama kuna mtu anakuja ili amuombe akuletee,akituma tu Posta jua hapati hata tablet moja