Kutumia Whatsaap na viber without bluestacks

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
guuyz !!
nahitaji kutumia whatsapp na viber kwenye pc yangu bila kutumia bluestacks
RAM-1gb
os-window xp sp3
is it possible waungwana?
 
guuyz !!
nahitaji kutumia whatsapp na viber kwenye pc yangu bila kutumia bluestacks
RAM-1gb
os-window xp sp3
is it possible waungwana?
Not possible. mpaka uwe na emulator katika pc yako mfano wake ni hiyo blustack
 
Bluestack imenisumbua sana ilikuwa installed ikafika sehemu ya ku verify basi ikawa tabu tupu. Hebu wataalamu mtusaidie au nazenyewe zina version tofauti natamani sana WhatsApp kwenye pc
 
Zingine hizi hapa:

  1. [*=1]Genymotion
    [*=1]Android x86
    [*=1]Windroy
    [*=1]Android SDK
Chaguo langu ni Bluestack na Android x86 - Sababu zote zinakubali ku_connect na ku_access Play Store

Thank you...i got something new from here.
 
mkuu android x86 naishusha kutoka wapi
Naona kuna links kutegemea na aina ya machine
Naomba kama waweza nipa link ya HP probook series

android x86 ni pure android na sio emulator. hio x86 inamaanisha ni processor ya window. hivyo hii ni android iliyotengenezwa ili kurun kwenye pc zetu za kawaida.

kama ambavyo sio emulator basi usitegemee urahisi kuieka. kama bado unaitaka njia rahisi ni kutafuta kitu kinaitwa vmware eka kwenye computer yako halafu install hii android kwenye vmware. na kama computer ilishindwa kuhandle bluestack usitegemee maajabu huku
 
mkuu najaribuuu nimedownload hio android86 tatizo kwenye ku-install to connect with phone inaishia asilimia 99 haitaki kuendeleaaa
 

Mkuu, machine yangu inaweza run bluestack tatizo natumia TG na inagoma kukamata mtandao
Jitihada zote zimegonga mwamba mpaka sasa.
Ukiweza kunisaidia kuunganisha Bluestack kwenye net through TG tatizo langu litaisha.
 
Mkuu, machine yangu inaweza run bluestack tatizo natumia TG na inagoma kukamata mtandao
Jitihada zote zimegonga mwamba mpaka sasa.
Ukiweza kunisaidia kuunganisha Bluestack kwenye net through TG tatizo langu litaisha.
  • Noted, I will be back soon.:A S angel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…